ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

USIWAZE TENA FANYA MAZOEZI HAYA KUONGEZA SHAPE

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 19, 2022
in #CHUKUAHII
0
USIWAZE TENA FANYA MAZOEZI HAYA KUONGEZA SHAPE
0
SHARES
101
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More
Kwanini uvae nguo za ndani zilizo na makalio ya upepo, wakati una nguvu na wewe bado kijana, kwanini uangaike kununua madawa ya kichina yalio na madhara kemkem katika afya yako.  Najua wachache wana uwezo wa kufanya  upasuaji kwa kuweka maumbile mengine  (plastic surgery) lakini pia sio salama.
–
Kupata mwili kama wa Nick minaj, inawezekana kwa kujituma  hasa kwa mazoezi, mazoezi aina ya squat ni mazoezi ambayo yanaweza kukufanya ukawa na shape ya kupendeza kama utafanya kwa kufwata maelekezo  na kuzingatia kanuni za mazoezi hayo.
–
Squat haikusaidii tu kutengeneza shape kama makalio pekeake ila pia husaidia kushape miguu yako, kusaidia kutoka minyama uzembe au (cellulite), mazoezi haya yanaweza ambatana na mazoezi ya kupunguza tumbo na kushape kiuno chako ili uwe na kiuno kama nyigu yaani chembamba.
–
Nini cha  kufanya? Kwa wale wasio na uwezo wa kuwatafuta wataalamu wa mazoezi haya au kwenda Gym, kuwa pamoja nasi hapa unaweza ukafanya ukiwa nyumba iwe na vifaa au bilaa vifaa.
quats kuongeza makalio
Ukiwa umesimama wima panua miguu yako kidogo, huku vidole vya kiguu vikiwa vimenyooka mbele, kunja miguu yako kama vile unachuchumaa. Kaa hivo bila kutikisika kwa muda wa sekunde 30 kisha simama tena. Rudia zoezi hili seti 25 mpaka 30 asubuhi na jioni ukiwa hujala kitu chochote. Tazama picha hapo juu namna ya kufanya zoezi hili.
Matokeo baada ya kufanya mazoezi haya yanatokana na juhudi zako na najua watu wengi ni wavivu  na wanatamani matokeo ya haraka kitu ambacho hakiwezi kuwa raisi. Unaweza kutumia zaidi ya miezi mitatu kupata unachokifanyia kazi kwa bidii. Jiwekee ratiba yako ya mazoezi kwa dakika 15 tu kila siku na unaweza kuona matokeo.
Shika chini kwa mikono yako miwili huku kuono ukiwa umebinua kidogo kama vile unatambaa, huku kichwa kichwa chako kikiwa kimeangalia mbele.Sasa nyanyua mguu wako wa kushoto kama vile unampiga teke mtu aliyeko nyuma yako. Fanya hili zoezi kwa kurudi mara 15 kwa kila mguu.

 

–
Unaweza pia kufanya kama ni tamaduni yako kukimbia na kufanya mazoezi mengine ya mwili kwani huwezi kutengeneza tu shape kama huna afya nzuri hii nikiwa na maana ukiwa mfanya mazoezi zingatia mlo wako na kunywa maji mengi, matunda na mboga za majani. Jenga shepu yako na mazoezi na sio madawa.
–
Kwa kutumia kifaa chao chenye uzito wa wastani(dumbells). Ukiwa umesimama inama taratibu kwa mbele na kurudi juu, hakikisha mikono yako haigusi mwili unapojipinda. Jaribu walau seti 20 kila siku. Tazama picha hapa juu namna ya kufanya.

 

ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

The underrated value of networking
#CHUKUAHII

The underrated value of networking

by I am Krantz
Mar 16, 2023
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 NA MAARIFA (QT)
#CHUKUAHII

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 NA MAARIFA (QT)

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
ALICHOKISEMA KOCHA WA UFARANSA BAADA YA BENZEMA KUPATA JERAHA
#CHUKUAHII

ALICHOKISEMA KOCHA WA UFARANSA BAADA YA BENZEMA KUPATA JERAHA

by Shabani Rapwi
Nov 20, 2022
HUYU NDIO MCHEZAJI MWENYE HISTORIA KUBWA KATIKA KOMBE LA DUNIA
#CHUKUAHII

HUYU NDIO MCHEZAJI MWENYE HISTORIA KUBWA KATIKA KOMBE LA DUNIA

by Shabani Rapwi
Nov 20, 2022
HAWA HAPA WATU WATANO AMBAO WAMEKUFA NA BADO WANAPATA PESA
#CHUKUAHII

HAWA HAPA WATU WATANO AMBAO WAMEKUFA NA BADO WANAPATA PESA

by Shabani Rapwi
Nov 12, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In