ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Friday, December 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Uwekezaji Kidijitali – NMB yaendelea kukuza Uchumi wa Buluu

I am Krantz by I am Krantz
Oct 28, 2022
in HABARI
0
Uwekezaji Kidijitali – NMB yaendelea kukuza Uchumi wa Buluu
0
SHARES
155
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

–

Mkaguzi wa Ndani wa NMB – Benedicto Baragomwa akitoa wasilisho la NMB, kwa wadau wa Kongamano la sita la TEHAMA (Tanzania Annual ICT Conference) linalofanyika kwa mara ya kwanza Visiwani Zanzibar. Kongamano hilo limeanza Oktoba 26 hadi 28, 2022.

kaguzi wa Ndani wa NMB – Benedicto Baragomwa (pili kushoto), akishiriki mjadala wakati wa Kongamano la sita la TEHAMA (Tanzania Annual ICT Conference) linaloendelea Visiwani Zanzibar.

 

 

 

 

Sehemu ya wadau na washiriki wa Kongamano la sita la TEHAMA (Tanzania Annual ICT Conference) wakifuatilia wasilisho la Benki ya NMB.

 

  Benki ya NMB imekuwa mstari wa mbele kwa ubunifu katika sekta ya TEHAMA kwa kutoa masuluhisho mbalimbali kwa wateja wake wa nyanja zote. NMB wameshiriki katika Kongamano la sita la TEHAMA (Tanzania Annual ICT Conference) linalofanyika kwa mara ya kwanza Visiwani Zanzibar na kuzinduliwa na Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi. Kauli mbiu ya kongamano hilo ni Mabadiliko ya Kidijitali kwenye Uchumi wa Buluu kwa Maendeleo ya Jamii na Kiuchumi.

 

Akifanya wasilisho la benki hiyo, Mkaguzi wa Ndani wa NMB – Benedicto Baragomwa alisema kuwa, wametumia fursa ya kongamano hili lenye zaidi ya washiki zaidi ya 800 wakiwemo viongozi wa serikali, watalaam wa TEHAMA, wadau wa maendeleo pamoja na wawekezaji katika sekta ya TEHAMA kutoka ndani na nje ya nchi kuonyesha uwezo, utayari na ushiriki wao katika kuwawezesha wananchi kutumia fursa zinazotokana na uchumi wa buluu.

 

Aidha, NMB imekuwa mchangiaji Mkuu wa ukuaji wa Uchumi wa Buluu Zanzibar kupitia makubaliano mbalimbali iliyosaini kuleta mabadiliko ya teknolojia ikiwemo; ushirikiano wao na Umoja wa Kampuni za Kutoa Huduma za Utalii Zanzibar (ZATO) uliozaa Kadi Maalum ya Malipo Kabla (NMB, ZATO Prepaid Card) na ule wa Wakala wa Serikali Mtandao (NMB e’Government Zanzibar) kushirikiana na NMB kutengeneza mfumo jumuishi (One Stop Center System) utakaotumika na taasisi Taasisi za SMZ.

 

“Kupitia NMB e’Government Zanzibar, benki imewezesha ujenzi wa Kituo cha Pamoja cha Malipo Kidijitali ‘One Stop Center’ cha Shirika la Bandari Zanzibar (ZPC), ambako malipo mbalimbali pale hupitia ‘control number’ moja na hivyo kurahisisha makusanyo na kukuza pato la Serikali inayochakata sera ya Uchumi wa Buluu,” alifafanua Baragomwa.

 

ADVERTISEMENT

Lakini pia katika ‘Uchumi wa Buluu’ NMB wamepunguza matumizi ya pesa taslimu ‘cashless’ kupitia hiyo ‘one stop center’ na PoS,na hivi karibuni wamezindua mashine ya ATM ya kubadili fedha za kigeni kama paundi, dola na euro kuwa shilingi za Kitanzania kwa saa 24  katika uwanja wa ndege wa Amani Abeid Karume.

 

Related

ADVERTISEMENT
I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

Tuliishi maisha ya shida sana kisa uchawi wa jirani!
HABARI

Tuliishi maisha ya shida sana kisa uchawi wa jirani!

by I am Krantz
Nov 30, 2023
EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga
HABARI

EACOP Yakamilisha Utaratibu Wa Fidia Kwa Kukabidhi Nyumba Ya 339 Mkoani Tanga

by I am Krantz
Nov 29, 2023
MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.
HABARI

MAWAKALA WA USAJILI WA VODACOM TANZANIA WATEMBELEA AFRIKA YA KUSINI KUTOKANA NA UTENDAJI BORA WA KAZI.

by I am Krantz
Nov 29, 2023
NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia
HABARI

NMB, Oryx Tanzania wazindua ‘Moto Mkali Bei Poa,’ kukopesha gesi ya kupikia

by I am Krantz
Nov 27, 2023
Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania
HABARI

Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo Yazidi Kusambaza Furaha Kwa Watanzania

by I am Krantz
Nov 27, 2023
NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿
HABARI

NMB Mlipa Kodi Mkubwa na Bora Zaidi Tanzania 2023 🇹🇿

by I am Krantz
Nov 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TWEETS

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In