Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde @anthonymavunde Oktoba 20, 2022 azindua ugawaji wa miche ya kahawa kwa wakulima wa Mkoa wa Kagera, na kusisitiza matumizi ya mbinu bora za kilimo ili kuhakikisha tija katika uzalishaji na kufukia malengo yaliyopendekezwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ya Ajenda 10/30.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT