ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Wafanyakazi wa Benki ya NMB wapeperusha Bendera ya NMB Mlima Kilimanjaro!

I am Krantz by I am Krantz
Oct 17, 2022
in BIASHARA, MICHEZO
0
Wafanyakazi wa Benki ya NMB wapeperusha Bendera ya NMB Mlima Kilimanjaro!
0
SHARES
31
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Wafanyakazi wa Benki ya NMB pamoja na wasindikizaji wa wenzao waliopanda Mlima Kilimanjaro, wakiwashangilia wenzao waliopanda na kushuka Mlima huo kwa siku Saba, katika hafla ya mapokezi iliyofanyika katika lango la Mweka.
Kaimu Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro – Bw. Iman Kikoti katika picha ya pamoja na timu ya Wafanyakazi wa NMB waliopanda Mlima Kilimanjaro, baada ya kuwatunuku vyeti kuashiria walifika katika kilele cha Mlima huo mrefu Afrika – Uhuru Peak
Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiipeperusha bendera ya Benki hiyo yenye ujumbe ‘Huduma kwetu Shangwe’ wakiwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro, kama ishara ya kusherehekea huduma wanazozitoa kwa wateja wao na jamii kwa ujumla.
Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiipeperusha bendera ya Benki hiyo wakiwa katika kilele cha Mlima Kilimanjaro, kama ishara ya kusherehekea Mwezi wa Huduma kwa Wateja.

 

 

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

 

 

Wafanyakazi 6 wa Benki ya NMB wamefanikiwa kupanda na kupeperusha bendera ya NMB katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya kuadhimisha Mwezi wa Huduma kwa Wateja, unaoadhimishwa duniani kote kila Oktoba.

 

Benki hiyo pia, imelitumia tukio hili la kihistoria kama sehemu ya kuwahamasisha wafanyakazi wake na Watazania kwa ujumla kushiriki utalii wa ndani ili kusaidia kukua kwa shughuli hiyo yenye fursa lukuki kibiashra na tija kiuchumi. 

 

Tukio la kusherekea Mwezi wa Huduma kwa Wateja mita 5,895 juu ya usawa wa bahari, umekua na maana kubwa kwa namna benki hiyo inavyozingatia huduma bora kwa wateja wake na kuudhihirishia umma kuwa ni kinara wa kutoa masuluhisho mbali mbali kwa wateja wake, ikiwemo kuwawezesha kuteleza kidijitali mahali popole na wakati wowote kupitia NMB Mkononi (Piga *150* 66# au App), Lipa Mkononi (QR) na NMB Direct.

 

Timu hiyo ya NMB imetumia siku saba kupanda na kushuka Mlima Kilimanjaro wakianzia lango la Machame na kumalizia lango la Mweka, walipokelewa na wenzao kutoka ofisi ya Kanda ya Kaskazini pamoja na matawi ya Moshi.

 

Aidha, hiki kimekuwa ni kitendo cha kutambua umuhimu wa biashara ya utalii na jukumu la msingi kwa sekta hiyo katika uchumi wa taifa na maendeleo ya nchi kwa ujumla.

 

ADVERTISEMENT

Akizungumza wakati wa kuwapokea wafanyakazi hao kutoka mlimani, Kaimu Mhifadhi Mkuu wa Hifadhi ya Taifa ya Kilimanjaro – Bw. Iman Kikoti alisema kuwa, kitendo cha wafanyakazi wa NMB kupanda Mlima Kilimanjaro kinaimarisha nafasi ya benki hiyo kuendelea kuwa karibu na sekta ya utalii na mshirika wa kimkakati wa maendeleo ya taifa.

 

Pia alibainisha kuwa, uamuzi wa NMB wa kuhamasisha utalii wa ndani ni kielekezo cha utayari wake kuchangia maendeleo na ustawi wa tasnia hiyo ili iweze kuchangia kikamilifu kuchochea kukua kwa uchumi nchini na ujenzi wa taifa. Bw. Kikoti aliipongeza NMB kwa hilo huku akisisitiza kuwa utalii wa ndani ni hazina kubwa kwa taifa ambayo inahitaji ushirikiano wa wadau kuufanya kushamili na kuchangia kukua kwa sekta nzima ya utalii nchini.

 

“Kwa sasa mchango wa utalii bado ni mdogo kwa hiyo uamuzi wa NMB kusaidia kuuchangamsha ni jambo jema na la kimaendeleo linalopaswa kuungwa mkono na wadau wote wa sekta binafsi,” alibainisha.

 

Nae kiongozi wa safari hiyo ambaye ni Afisa Mkuu wa Wateja Wakubwa na Serikali wa Benki ya NMB, Bw. Alfred Shao, alisema kamwe hawatajutia kushiriki kwenye zoezi hilo lilowafunza mambo mengi ya kimaisha na kikazi.

 

ADVERTISEMENT

 

 

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL
MICHEZO

SAKA AIBUKA MCHEZAJI BORA WA MWEZI MACHI EPL

by ALFRED MTEWELE
Mar 31, 2023
HAWA HAPA NYOTA WANAOTAZAMWA ZAIDI KUTUA MAN ‘U’
MICHEZO

HAWA HAPA NYOTA WANAOTAZAMWA ZAIDI KUTUA MAN ‘U’

by ALFRED MTEWELE
Mar 31, 2023
CHELSEA YATAKA PAUNI MIL. 70 MAUZO YA MOUNT
MICHEZO

CHELSEA YATAKA PAUNI MIL. 70 MAUZO YA MOUNT

by ALFRED MTEWELE
Mar 31, 2023
TAIFA STARS YAAHIDI KUENDELEZA ILIPOISHIA
MICHEZO

TAIFA STARS YAAHIDI KUENDELEZA ILIPOISHIA

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023
MICHEZO

NAIBU WAZIRI “FA” AIUNGA MKONO TAIFA STARS, AFCON 2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In