ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WAGONJWA 9,545 WAFANYIWA UPASUAJI WA MABUSHA

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 13, 2022
in HABARI
0
WAGONJWA 9,545 WAFANYIWA UPASUAJI WA MABUSHA
0
SHARES
47
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt. William Kisinza amesema, wagonjwa 9,545 nchini wamefanyiwa upasuaji wa mabusha. Dkt. Kisinza amesema kati ya wagonjwa hao, 3,115 ni kutoka mkoa wa Lindi.
–

Amesema hayo mkoani Lindi wakati wa kongamano la uwasilishaji wa matokeo ya utafiti wa ugonjwa wa mabusha na matende uliofanywa na NIMR kupitia mradi wa kupambana na vikwazo vya kutokomeza matende na mabusha nchini.

–

Dkt. Kisinza amesema kati ya mwaka 1998 na 2004, NIMR ilifanya utafiti katika mkoa wa Lindi na kubaini kiwango cha maambukizi ya matende na mabusha kati ya asilimia 47 na 60 katika halmashauri za Nachingwea, Liwale na Mtama.

–

Utafiti huo ulipelekea kuanzishwa kwa Mpango wa Taifa wa kutokomeza ugonjwa wa matende kwa kutumia afua ya ugawaji wa dawa za kingatiba za Albendanzole na Ivermectin katika ngazi ya jamii.
–

Dkt. Kisinzo amesema kutoka na juhudi hizo, maambukizi ya magonjwa hayo yamepungua na kufikia kiwango cha kati ya asilimia 2.3 na 6.2 katika halmashauri za Nachingwea, Liwale na Ruangwa.

ADVERTISEMENT

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In