ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Wednesday, June 7, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WANANDOA FANYENI TENDO LA NDOA MARA NYINGI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 12, 2022
in #CHUKUAHII
0
WANANDOA FANYENI TENDO LA NDOA MARA NYINGI
0
SHARES
346
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

TRA YASISITIZA WENYE UMRI MIAKA 18+ LAZIMA WAWE NA TIN NUMBER

TRA YASISITIZA WENYE UMRI MIAKA 18+ LAZIMA WAWE NA TIN NUMBER

Jun 7, 2023

BENZEMA AJIUNGA NA AL-ITTIHAD

Jun 7, 2023

KURASA ZA MAGAZETI LEO JUMATANO TAREHE 7 JUNI 2023

Jun 7, 2023
Load More

 

Mchungaji Tolu Odukoya-Ijogun ambaye ni mtoto wa kwanza wa mchungaji Bimbo Odukoya wa kanisa nchini Nigeria amewaambia wenye ndoa wafanye sana tendo la ndoa kadiri wawezavyo.

 

 

–

 

Anasema baba yake mzazi aliwahi kusema tendo la ndoa ni sawa na pesa usipoitumia nyumbani utaitumia kwingineko nje hivyo tumieni sana pesa (tendo la ndoa) nyumbani.

 

 

–

 

Mchungaji huyo ambaye ni mama wa watoto watatu amesisitiza kwamba tendo la ndoa ni sawa na mvinyo kadiri muda unavyoenda ndivyo linavyozidi kuwa tamu. Ameyasema hayo wakati akitoa ushauri wa kindoa ikiwemo kuwaambia wanandoa wasipende kushindana wao kwa wao pia msameheane.

 

 

–

 

ADVERTISEMENT

“Ukiwa katika ndoa fanya fanya tendo la ndoa mara nyingi. Wanandoa kutofanya tendo la ndoa ni hatari sana. Baba yangu aliwahi kusema tendo la ndoa ni kama fedha, usipoitumia nyumbani utaitumia kwingine’ Bwana na Bi, tumia pesa yako nyumbani. Ukweli: tendo la ndoa ni kama divai; inakuwa tamu zaidi kadri muda unavyokwenda.

 

 

ADVERTISEMENT

–

 

“Ukiwa kwenye ndoa acha kushindana! Ndoa sio mashindano. Mafanikio yake ni mafanikio yako. Nyinyi wawili mmekusudiwa kukamilishana sio kushindana dhidi ya kila mmoja.

 

 

–

 

Ukiwa kwenye ndoa, samehe. Msamaha ni saratani, unahitaji kuichuna kabla haijaua penzi lako. Iwapo ni vigumu kusamehe.. mama yangu aliwahi kusema ‘Ndoa ni wasamehevu 2 wanaoishi pamoja’, alisema Tolu.

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

KIKOSI KAZI MTEGONI/MEMBE AFUNGUKA/ACT YATEMA CHECHE/PABLO APATA KIGUGUMIZI……….MAGAZETINI LEO JUMATATU TAREHE 30 MEI 2022
#CHUKUAHII

MEMBE ,MUSIBA NGOMA NZITO……KUTOKA MAGAZETINI LEO JUMATANO TAREHE 3 MEI 2023

by I am Krantz
May 3, 2023
ULAJI WA CHIPSI CHANZO CHA SONONA
#CHUKUAHII

ULAJI WA CHIPSI CHANZO CHA SONONA

by Shabani Rapwi
Apr 25, 2023
The underrated value of networking
#CHUKUAHII

The underrated value of networking

by I am Krantz
Mar 16, 2023
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 NA MAARIFA (QT)
#CHUKUAHII

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 NA MAARIFA (QT)

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
ALICHOKISEMA KOCHA WA UFARANSA BAADA YA BENZEMA KUPATA JERAHA
#CHUKUAHII

ALICHOKISEMA KOCHA WA UFARANSA BAADA YA BENZEMA KUPATA JERAHA

by Shabani Rapwi
Nov 20, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In