ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WANAOTUMIA BIDHAA ZA KUNYOOSHA NYWELE ‘RELAXER’ HATARINI KUPATA SARATANI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 20, 2022
in #CHUKUAHII
0
WANAOTUMIA BIDHAA ZA KUNYOOSHA NYWELE ‘RELAXER’ HATARINI KUPATA SARATANI
0
SHARES
69
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

 

Wanasayansi nchini Marekani wametoa matokeo ya utafiti mpya unaohusisha matumizi ya baadhi ya bidhaa za kunyoosha nywele ‘hair relaxer’ na ongezeko la saratani kwa wanawake.

 

 

–

 

 

Matokeo ya tafiti za awali yalibainisha kuwa kemikali za kunyoosha nywele zinahushishwa na hatari ya kuongezeka kwa saratani zinazohusiana na homoni, saratani ya matiti na Ovari kwa wanawake, lakini matokeo ya utafiti mpya yanaonyesha ongezeko kubwa la saratani ya Uterasi kwa wanawake kutokana na matumizi makubwa ya bidhaa hizo.

 

 

–

 

Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti huo uliofanywa na Taasisi ya Kitaifa ya Afya ya huko Maryland, Marekani, kati ya wanawake ambao hawakutumia bidhaa za kemikali kunyoosha nywele katika kipindi cha miezi 12 iliyopita asilimia 1.6 walipata saratani ya Uterasi katika umri wa miaka 70 lakini karibu asilimia nne ya wanawake ambao hutumia mara kwa mara bidhaa kama hizo walipata saratani ya Uterasi walipofikisha umri wa miaka 70.

ADVERTISEMENT

 

ADVERTISEMENT

Utafiti huo pia umebainisha kuwa ni nadra kwa idadi kubwa ya wanawake kupata saratani ya Uterasi, hivyo ongezeko hilo kubwa linaibua wasiswasi mkubwa.

 

 

–

 

Wanasayansi waliofanya utafiti huo wamesema kuwa, wanawake wanaotumia bidhaa hizo za kunyoosha nywele mara kwa mara ndani ya kipindi cha mwaka mmoja (zaidi ya mara nne), wapo katika hatari mara mbili zaidi ya kupata saratani hiyo.

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

The underrated value of networking
#CHUKUAHII

The underrated value of networking

by I am Krantz
Mar 16, 2023
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 NA MAARIFA (QT)
#CHUKUAHII

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 NA MAARIFA (QT)

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
ALICHOKISEMA KOCHA WA UFARANSA BAADA YA BENZEMA KUPATA JERAHA
#CHUKUAHII

ALICHOKISEMA KOCHA WA UFARANSA BAADA YA BENZEMA KUPATA JERAHA

by Shabani Rapwi
Nov 20, 2022
HUYU NDIO MCHEZAJI MWENYE HISTORIA KUBWA KATIKA KOMBE LA DUNIA
#CHUKUAHII

HUYU NDIO MCHEZAJI MWENYE HISTORIA KUBWA KATIKA KOMBE LA DUNIA

by Shabani Rapwi
Nov 20, 2022
HAWA HAPA WATU WATANO AMBAO WAMEKUFA NA BADO WANAPATA PESA
#CHUKUAHII

HAWA HAPA WATU WATANO AMBAO WAMEKUFA NA BADO WANAPATA PESA

by Shabani Rapwi
Nov 12, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In