Washindi wa kampeni ya Tisha na TemboCard kwa mwezi wa tisa waliofanya miamala mingi kwa kutumia kadi zao, kupitia hafla iliyofanywa na Benki ya CRDB wamekabidhiwa washindi mfano wa Hundi za Fedha Taslimu ndani ya eneo la GSM Salamander Tower ikiongozwa na mkuu wa kitengo cha kadi Bw. Farid Seif na kuhudhuriwa na wateja mbalimbali pamoja na wafanyakazi wa benki ya hio.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT