ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, May 30, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WAZIRI KAIRUKI ATAKA UTUMISHI ULIOTUKUKA TAMISEMI

Dodoma, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Oct 7, 2022
in HABARI
0
WAZIRI KAIRUKI ATAKA UTUMISHI ULIOTUKUKA TAMISEMI
0
SHARES
50
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

Gender Programme Specialist, (P-3) Job Vacancy at UNICEF

Gender Programme Specialist, (P-3) Job Vacancy at UNICEF

May 27, 2023

SIMAMIENI UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUJIBU HOJA ZA CAG; -KAIRUKI

May 23, 2023

WAWILI WASIMAMISHWA KAZI TABORA

May 19, 2023
Load More
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

May be an image of 6 people, people sitting, people standing and text that says 'W OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MI Ofisi ya Rais TAMISEMI Ofisi ya Rais TAMISEMI Ofisi ya MISEMI Ofisi ya Rais TAMISEM Ofisi MI WISEMI Ofisi ya EMI EMI Ofisi ya MI Ofisi MI Ofisi ya MI Ofisi ya'

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Angellah Kairuki amewataka watumishi wote wa Wizara, Taasisi zilizopo chini ya Wizara hiyo, Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kufanyakazi kwa kuheshimiana, kuaminiana na kushirikiana ili kumsaidia Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan.
Ametoa kauli hiyo jana Oktoba 6, 2022 jijini Dodoma mara baada ya kukabidhiwa Ofisi na aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI Mhe. Innocent Bashungwa ambaye aliteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
“Najua uwezo wa watumishi wa Ofisi ya Rais –TAMISEMI, wanataaluma na uwezo mkubwa, hivyo tumienu utaalam wenu kunishauri na ninaamini kwa nguvu niliyoiona hapa tutafanikiwa” amesema Waziri Kairuki
Waziri Kairuki amewataka watumishi hao kufanyakazi kwa uwazi, weledi na kuhakikisha kazi zinakamilika kwa wakati na ubora wa maandiko ili kufikia malengo yaliyowekwa na Wizara.
“Tuwe wawazi na moyo mweupe maana mimi ni mkali ukienda ndivyo sivyo, tukamilishe kazi kwa wakati, lakini kuwepo ubora wa andiko unaloleta likiwa vibaya tutagombana na safari itaishia hapo lakini naamini kwa nguvu ninayoiona hapa tutafika mbali,”amesisitiza Waziri Kairuki.
Vilevile, amewataka watumishi hao kuacha kufanyakazi kwa mazoea na kuendekeza majungu bali amewataka kila mmoja kwa nafasi yake kutimiza majukumu yake kwa wakati na kikamilifu lengo likiwa ni kuhakikisha tunawadumia wananchi.
Awali, akizungumza kabla ya kukabidhi ofisi, Waziri Bashungwa amemhakikishia Waziri Kairuki kuwa atakuwa sehemu ya ushirikiano huku akiwaasa watumishi hao kuendelea kufanyakazi kwa ushirikiano na kuwa timu moja.
Naye, Naibu Waziri Tamisemi anayeshughulikia Elimu, Mhe. David Sil CGinde ameeleza katika utawala huu wa awamu ya sita hakuna kijiji ambacho hakina mradi wa serikali huku akimwahidi ushirikiano Waziri Kairuki.
May be an image of 4 people, people sitting, people standing and text that says 'TA OFISI YA RAIS A ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MIT Ofisi Ofisi ya Rais TAMISEMI Ofisi Ofisi Ofisi ya Rais TAMISEMI Ofisi Ofisi ya Rais. Ofisi y Ofisi Rais Ofisi ya Rais Ofisi ya Rais TA Ofisi ya Rais TAM தன'
May be an image of 7 people, people standing, people sitting and indoor

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO
HABARI

POCHETTINO AANZA NA JOAO FELIX AREJEE ATLETICO

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE
HABARI

DIASPORA KUPEWA HADHI YA KIPEKEE

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA
HABARI

MAPACHA WALIOFARIKI ZIWANI WAKIOGELEA KUZIKWA MARA

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD
HABARI

Legal Manager / Company Secretary Job Vacancy at BRAC Tanzania Finance LTD

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
5 Various Job Vacancies at Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)
HABARI

5 Various Job Vacancies at Tanzania Agricultural Development Bank (TADB)

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023
Digital Channels Manager Job Vacancy at Airtel Tanzania PLC
HABARI

Digital Channels Manager Job Vacancy at Airtel Tanzania PLC

by ALFRED MTEWELE
May 30, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In