ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

WENYE MAKALIO MAKUBWA WANA AKILI NDOGO

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Oct 24, 2022
in #CHUKUAHII
0
WENYE MAKALIO MAKUBWA WANA AKILI NDOGO
0
SHARES
154
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

 

WANASAYANSI wamechapisha utafiti ambao unaweza kuzua pingamizi kali, baada yao kubaini kuwa watu walio na nyama nyingi katika sehemu ya makalio wana akili ndogo.

Kulingana na utafiti huo ambao ulichapishwa Januari 9, 2019 katika jarida la Neurology, watu wanene kiunoni wana uchache wa chembechembe za ‘gray matter’ kwenye akili, ambazo kwa kawaida hubeba bilioni 100 ya mishipa kwenye akili.

 

 

–

 

 

Watafiti hao walisema kuwa unene wa mwili ulidhihirisha kuchangia kupungua kwa upevu wa akili katika maeneo manne.

 

 

–

 

 

Utafiti huo ulihusisha watu 9,652 wa umri wa makamo Uingereza, ambapo uzito wa mwili-ukilinganishwa na urefu (BMI) na ukubwa wa kiuno hadi mapajani ulipimwa. Kisayansi, kipimo cha kati ya 18.5 na 24.9 cha BMI huwa salama kiafya, lakini kikizidi 30 mtu anaweza kuitwa mnene kupita kiasi.

 

 

ADVERTISEMENT

–

 

 

Kulingana na vigezo walivyotumia wanasayansi hao, mmoja kati ya kila wahusika 5 wa utafiti huo walipatikana kuwa wanene kupita kiasi.

 

 

–

 

 

Watafiti hao aidha walitumia teknolojia kupima upevu wa akili wa wahusika, wakizingatia umri, namna mwili unafanyishwa kazi, uvutaji wa sigara ama ugonjwa wa kupanda damu. Walibaini kuwa watu walio na kiwango cha juu cha vipimo vya BMI (unene mkubwa ikilinganishwa na urefu wa mwili), ama ukubwa kiunoni walikuwa na kiwango kidogo cha chembe chembe za ‘gray matter’ akilini.

 

 

–

 

 

“Upungufu wa ukubwa wa akili unaongezeka kadri mafuta katika sehemu ya kiuno yanazidi kuongezeka,” akasema mkuu wa utafiti huo Hamer.

 

 

–

 

 

Katika idadi halisia, watu 1,291 ambao walikuwa na kiwango cha BMI cha zaidi ya 30 na ukubwa kwenye sehemu za kiuno na mapaja walipatikana kuwa na kiwango kidogo sana cha chembechembe za gray matter akilini, kikiwa sentimita 786 mraba, watu 514 ambao walikuwa na kiwango cha BMI zaidi ya 30 lakini hawakuna wanene sehemu ya kati ya mwili nao walikuwa na kiwango cha gray matter kwa kadiri, kikiwa sentimita 798 mraba.

 

 

–

 

 

Utafiti huo ulihusisha unene mkubwa wa mwili na kufinyika kwa sehemu fulani za akili kama pallidum, nucleus accumbens, putamen (ambayo huhusishwa na kiwango cha juu cha BMI) na caudate (ambayo huhusishwa na ukubwa kiunoni).

 

 

–

 

 

“Haifahamiki ikiwa hali hiyo katika akili ndiyo huchangia unene wa mwili ama ni unene wa mwili unaopelekea akili kuwa hivyo,” akasema Prof Hamer.

 

 

–

 

 

Utafiti huo ulishauri watu kufanya bidii kuwa katika hali nzuri ya mwili kiafya na kuhakikisha hawawi na uzito mkubwa.

 

 

 

–

 

ADVERTISEMENT

 

Credit :   Taifa Leo

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

The underrated value of networking
#CHUKUAHII

The underrated value of networking

by I am Krantz
Mar 16, 2023
MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 NA MAARIFA (QT)
#CHUKUAHII

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE 2022 NA MAARIFA (QT)

by Shabani Rapwi
Jan 29, 2023
SAMATTA KUTUA AL AHLY
#CHUKUAHII

SAMATTA KUTUA AL AHLY

by Shabani Rapwi
Jan 25, 2023
ALICHOKISEMA KOCHA WA UFARANSA BAADA YA BENZEMA KUPATA JERAHA
#CHUKUAHII

ALICHOKISEMA KOCHA WA UFARANSA BAADA YA BENZEMA KUPATA JERAHA

by Shabani Rapwi
Nov 20, 2022
HUYU NDIO MCHEZAJI MWENYE HISTORIA KUBWA KATIKA KOMBE LA DUNIA
#CHUKUAHII

HUYU NDIO MCHEZAJI MWENYE HISTORIA KUBWA KATIKA KOMBE LA DUNIA

by Shabani Rapwi
Nov 20, 2022
HAWA HAPA WATU WATANO AMBAO WAMEKUFA NA BADO WANAPATA PESA
#CHUKUAHII

HAWA HAPA WATU WATANO AMBAO WAMEKUFA NA BADO WANAPATA PESA

by Shabani Rapwi
Nov 12, 2022

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
October 2022
M T W T F S S
 12
3456789
10111213141516
17181920212223
24252627282930
31  
« Sep   Nov »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In