Nyota kutokea nchini Nigeria, WizKid (Star Boy), amevunja rekodi nyingine na kuwa msanii wa kwanza kufikisha streams bilioni 5 kwenye mtandao wa Spotify.
–
ADVERTISEMENT
Kupitia wimbo wake wa Essence aliomshirikisha mwanadada Tems, WizKid amefanikisha kuvunja rekodi mbalimbali ambazo imekuwa ni ndoto kwa wasanii wengi kutokea Afrika.
ADVERTISEMENT