Mchezaji wa zamani wa Hispania, Xabi Alonso ameteuliwa kuwa kocha mkuu mpya wa Klabu ya Bayer Leverkusen akichukua nafasi ya Gerardo Seoane ambaye amefutwa kazi leo.
–
Alonso atakuwa kocha wa klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Ujerumani ‘Bundesliga’ kwa mkataba hadi Juni 2024.