Baada ya klabu ya Yanga kuondolewa katika Michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa kutolewa na Klabu ya Al Hilal ya nchini Sudan, CAF imeonyesha matokeo ya droo iliochezesha kwa klabu zitakazoshiriki Kombe la Shirikisho Barani Afrika na ndipo kikosi cha Yanga kimepangiwa kuminyana vikali na miamba kutoka Klabu ya AFRICAIN.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT