“Nikiri kwamba Yanga tunapata wivu tunapoona kiongozi mkubwa wa nchi anapongeza timu nyingine na wadau wengine na sisi hatupo, tunapata wivu kwa sababu hili ni jambo la maendeleo, tunatamani siku moja na sisi tuamke tuone Rais akisema hongera Yanga kwa jambo hili na hili” Afisa Habari wa Yanga, AliKamwe
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT