Klabu ya Yanga imetia saini mkataba wa makubaliano wa miezi sita na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto – UNICEF unaolenga kuongeza uelewa kwa Umma kuhusu Chanjo ya UVIKO-19 na uhamasishaji kuhusu virusi vya EBOLA.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT