ADVERTISEMENT
Ikiwa ni moja ya sehemu ya kujiongezea kipato ndani ya Klabu, Kuelekea kumbukumbu ya miaka 23 ya kifo cha aliyekuwa Mwasisi ambaye amelipigania Taifa kuwa Huru, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, klabu ya Yanga imezindua Jezi TOLEO MAALUM (SPECIAL EDITION) ili kuenzi mchango wake katika Klabu hio na michezo kiujumla.
Jezi hizo ambazo ni TOLEO MAALUM (SPECIAL EDITION) zipo chache na zinapatikana Makao Makuu ya Klabu, Jangwani. GSM Sports Salamander Tower – Samora, Msasani na Mlimani City kwa bei tajwa ya Tshs 40,000 tu.

ADVERTISEMENT