Klabu ya Yanga yatolewa kushiriki michuano hatua ya makundi CAF hio ni baada ya Kutoa sare ya 1-1 wakiwa wenyeji wa mchezo huo na kuruhusu mpinzani wake Al Hilal ya Sudan kuweka kimiani goli 1 katika dakika za awali kabisa za mchezo wa marudiano uliochezwa Jumapili ya Octoba 16,2022.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT