Msanii wa WCB Wasafi Zuchu amempa boss wake Diamond Platnumz zawadi ya cheni ya Gold yenye thamani ya Tsh Milioni 29 [29,375,000].
–
ADVERTISEMENT
Cheni hii ni ilitengenezwa maalum na sonara maarufu nchini Afrika Kusini, Lexleodrsmile ambaye na arekodi ya kufanya kazi za wasanii wakubwa kama Cassper Nyovest na Nasty.
ADVERTISEMENT