Kupitia ukurasa wa Instagram wa Mpishi Maarufu nusr_et Ameshare Risiti ya Bili ya Moja kati ya Wateja wake katika Mgahawa wake ambae aliagiza chakula chenye thamani ya $166,000 zaidi ya Milioni 387 za Kitanzania.
ADVERTISEMENT
–
ADVERTISEMENT
Hata hivyo, baada ya kutuma picha ya ya Risiti hiyo, ilionekana wafuasi wake hawakufurahishwa na wengi wao walilalamikia jinsi bei zilivyokuwa za juu katika mgahawa wake.