ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

ACHA LIFT PANDA NGAZI – FRED VUNJABEI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Nov 23, 2022
in BURUDANI, HABARI
0
ACHA LIFT PANDA NGAZI – FRED VUNJABEI
0
SHARES
247
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

 

“Mara nyingi MAFANIKIO hayakufuati ni vyema ukayafuata, unasubiri lift muda mrefu kumbe kuna watu wameizuia wanapiga picha, kuna mwanazuoni alisema wakifunga mlango jaribu dirisha. Ni vyema ukapanda ngazi hata kama ni vigumu “Nothing worthy having comes easy”

 

 

 

 

–

 

 

‘Watu wengi huamini mafanikio yao yapo kwa mtu fulani unasubiri miaka mingi huzioni dalili njema, wengine huamini kupitia biashara fulani na ni muda haikupi matunda, wengine huamini hawezi kujiajiri anang’ang’ania ajira ambayo hamlipi miaka yote, unachelewa kufanya maamuzi. Panda ngazi acha kusubiri lift”

 

 

 

 

–

ADVERTISEMENT

 

 

 

‘Subira yavuta heri lakini ngoja ngoja yaumiza matumbo jiwekee ukomo wa kusubiri, tafuta njia nyingine ya kupita ili ufikie mafanikio yako kwa haraka. Kuna uwezekano njia aliyokupangia Mungu sio hiyo unayolazimishia kupita. Get out of the box!!”

 

 

 

 

ADVERTISEMENT

 

–

 

 

“Mimi binafsi ajira haikuwa njia yangu niliamua kubadili na kuacha kazi serikalini japokuwa ilikuwa ngumu nili- take risk, sio RISK tu bali calculated one, “the higher the RISK the higher the RETURN” Ameandikia Fred Vunjabei, katika ukurasa wake wa Instagram.

 

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In