ADVERTISEMENT
Mkurugenzi wa Huduma za Airtel Money Isack Nchunda (kulia) na Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa N-CARD wakionyesha bango baada ya kuzindua ushirikiano ambapo kwa sasa wateja wanaotumia huduma ya Airtel Money wataweza kutumia N-CARD kwa ajili ya kufanya malipo kwa njia ya mitandao ikiwemo kulipia huduma mbali mbali kama vile kulipia tiketi za mpira wa miguu. Ushirikiano huu pia utaweza kuongeza chachu katika kukuza uchumi wa kidigitali.
ADVERTISEMENT