Serikali kupitia kurasa za mitandao ya kijamii za Msemaji mkuu wa Serikali Tanzania imekanusha vikali kuhusu taarifa zinazoenea kuhusiana na Ripoti ya Ajali ya Ndege inayoenenea mtandaoni kuwa taarifa hio sio ya kweli bali ipuuzwe, ikiwa siku chache hapo nyuma serikali ilianza kufanya uchunguzi ili kuandaa ripoti ihusianayo na ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air iliyotokea 6 Novemba,2022 Bukoba
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT