Amar Bharati raia wa India ambae kwa zaidi ya maka 45 ameishi kwa kuinua mkono wake juu mfululizo bila kuushusha chini.
–
Pia alitumia miaka miwili ya maisha yake katika maumivu makali kwa kufanya hivi, lakini baadaye alipoteza hisia kabisa na kuacha misuli katika mkono wake ikiwa imedhoofika.
–
Kwa mujibu wake anaeleza kuwa ameamua kufanya hivyo kama kutoa heshima kwa Mungu wake ’Shiva’ pia kusisitiza na kukumbusha watu umuhimu wa amani Duniani
–
Wafuasi wake nchini India wamepata msukumo kutokana na matendo yake wakiyaita “mwanga wa tumaini”