ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

Asasi Zisizo za Kiserikali Zitambulike

Dodoma, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Nov 9, 2022
in HABARI
0
Asasi Zisizo za Kiserikali Zitambulike
0
SHARES
50
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

Feb 9, 2023

Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

Feb 3, 2023

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Feb 2, 2023
Load More
May be an image of 8 people, people sitting and indoor
Maafisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri zote nchini wametakiwa kutambua uwepo wa Mashirika yasiyo ya Kiserikali katika maeneo yao pamoja na kufuatilia utekelezaji wa mashirika hayo ili malengo yaliyosababisha kuanzishwa kwa mashirika hayo yatimie na kuleta maendeleo nchini.
Rai hiyo imetolewa na Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Ramadhan Kailima katika Kikao Kazi cha Maafisa Maendeleo ya Jamii kutoka katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kilichofanyika Novemba 8,2022 Jijini Dodoma.
“Tuna mashirika ambayo yanafanya utekelezaji wake katika maeneo yetu tuhakikishe tunafatilia utekelezaji wake, lakini pia tutumie vikao vilivyopo kuyatambulisha mashirika haya hasa katika vikao vya Madiwani wa Kata zetu ili wao sasa wapeleke taarifa za utekelezaji huo kwa Wananchi”Amesema Kailima
Sambamba na hilo Kailima amewataka Maafisa hao kushirikiakiana na Maafisa lishe katika utekelezaji wa afua za lishe zilizopo katika Sekretarieti za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa ili kutokomeza udumavu wa watoto na kuimarisha lishe bora nchini.
Naye Katibu Mkuu Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Wanawake na Makundi Maalum (WMJJWM) Dr. Zainabu Chaula amepongeza ushirikiano uliopo baina ya Ofisi ya Rais-TAMISEMI na Wizara ya WMJJWM, amezitaka Wizara hizo kuendelea kushirikiana kwa pamoja katika kutoa mafunzo ya kimkakati kwa Maafisa Maendeleo Jamii nchini yenye lengo la kukumbushana mambo mbalimbali yakiutendaji.
Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali Bi. Mwantumu Maiza amewataka maafisa hao kuhakikisha wanashirikiana na Maafisa elimu katika kutokomeza ukatili wa kijinsia pamoja na mimba za Utotoni kwa kuandaa vikao shuleni ili kuleta uelewa na kuvunja ukimya wa ukatili wa kijinsia na mimba za utotoni.
May be an image of 7 people and people standing
May be an image of 1 person, sitting and standing
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In