ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

BENKI YA CRDB YAADHIMISHA MIAKA 10 BURUNDI

Burundi, Afrika Mashariki

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Nov 24, 2022
in BIASHARA
0
BENKI YA CRDB YAADHIMISHA MIAKA 10 BURUNDI
0
SHARES
35
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

Benki ya CRDB Yashiriki Vyema Uzinduzi wa Faida Fund

Benki ya CRDB Yashiriki Vyema Uzinduzi wa Faida Fund

Jan 16, 2023

Benki ya CRDB Yazindua Mfumo wa Kutuma Maoni kwa SMS

Dec 8, 2022

Benki ya CRDB Yaibuka Kinara wa Tuzo ya Uandaaji wa Hesabu kwa Mwaka 2021

Dec 1, 2022
Load More
May be an image of 8 people and people standing
Benki ya CRDB nchini Burundi imeadhimisha miaka 10 iliyotimiza katika utoaji wa huduma zake tangu kuanzishwa kwake nchini humo.
Katika muendelezo wa shughuli za maadhimisho ya miaka 10 ya @crdbbankburundi, ujumbe wa Benki ya CRDB ulioongozwa na Afisa Mtendaji Mkuu, Abdulmajid Nsekela aliyeambatana na wajumbe wa Bodi ya kampuni Mama ya Benki ya CRDB pamoja na kampuni tanzu ya Benki ya CRDB Burundi umetembelea Benki Kuu ya Burundi kutoa shukrani kwa ushirikiano mkubwa kwa Benki ya CRDB Burundi.
Akizungumza katika mkutano, Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Burundi, Desire Musharitse alisema Benki Kuu ya nchi hiyo inafurahia sana kwa uwepo wa Benki ya CRDB nchini Burundi kwani imekua sehemu ya uwezeshaji wa miradi mingi ya kiuchumi kwa nchi lakini pia imechangia uwezeshaji wa wafanyabiashara.
“Tulipata matatizo yaliyopelekea changamoto kubwa ya upatikanaji wa fedha za kigeni mwaka 2015 lakini tulipata msaada mkubwa sana kutoka Benki ya CRDB na hakika hilo limedhihirisha ule usemi wa rafiki wa kweli hujulikana wakati wa shida” alisema Musharitse.
Kwa upande wake Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela alisema Benki ya CRDB inatarajia kuingia nchini DRC hivi karibuni jambo ambalo litachangia kukuza biashara kati ya Burundi na DRC lakini pia ushirikiano wa biashara kati ya nchi hizo na Tanzania ambazo kwa pamoja ni sehemu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
“Adhma yetu katika masoko tunayohudumia ni sio tu kutoa huduma bora bali kutoa mchango katika uchumi na kubadilisha maisha ya watu tunaowahudumia hivyo tunaahidi kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano na Benki Kuu ya Burundi ili kuleta mageuzi ya kiuchumi nchini Burundi” aliongeza Nsekela.
#Miaka10yaCRDBBankBurundi
#YESinawezekana
May be an image of 6 people, people sitting, people standing and indoor
May be an image of 3 people, people sitting and indoor
May be an image of 6 people, people sitting, people standing and indoor
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: CRDB BANK
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO
BIASHARA

BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO

by ALFRED MTEWELE
Mar 14, 2023
USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI
BIASHARA

USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI

by ALFRED MTEWELE
Mar 9, 2023
BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI   KWA  WANAWAKE WAJASIRIAMALI
BIASHARA

BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by I am Krantz
Mar 9, 2023
NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda
BIASHARA

NMB yafadhili ziara ya mafunzo Machinga, Bodaboda Dar nchini Rwanda

by I am Krantz
Feb 3, 2023
Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi
BIASHARA

Benki ya NMB Yakabidhi Tiketi kwa Viongozi 12 Kwenda Rwanda na Kurudi

by ALFRED MTEWELE
Feb 3, 2023
TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA CEMENT UJENZI WA KITUO CHA POLISI KIBURUGWA
BIASHARA

TANZANIA COMMERCIAL BANK YATOA MSAADA WA MIFUKO 100 YA CEMENT UJENZI WA KITUO CHA POLISI KIBURUGWA

by Ally Hamis Zingizi
Jan 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In