ADVERTISEMENT
Benki ya CRDB yatunukiwa tuzo za Huduma Bora za Kidijitali Afrika Mashariki na Huduma Bora kwa Wateja katika tuzo za Consumer Choice Awards @ccawardsafrica zilizofanyika Novemba 12, 2022.
Imewashukuru wateja wake, washirika, wadau , pamoja na Watanzania wote kwa kuendelea kuifanya Benki hio kuwa bora zaidi.
Imeongeza zidi kwa kuahidi kuendelea kuwa bunifu katika huduma zake ili kusaidia kuboresha maisha ya Watanzania.
ADVERTISEMENT