ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

BENKI YA NBC YACHANGIA MILIONI 15 UJENZI WA UWANJA WA GOLF IRINGA , RC AWAPONGEZA.

I am Krantz by I am Krantz
Nov 14, 2022
in BIASHARA
0
BENKI YA NBC YACHANGIA MILIONI 15 UJENZI WA UWANJA WA GOLF IRINGA , RC AWAPONGEZA.
0
SHARES
50
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na Wateja Wadogo Benki ya NBC Bwn. Elibariki Masuke akikabidhi Mfano wa Hundi ya Milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Golf kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego . Kushoto ni Bwn. Edmund Mkwawa – Mwenyekiti wa Mkwawa University Golf Club
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na Wateja Wadogo Benki ya NBC Bwn. Elibariki Masuke akikabidhi Mfano wa Hundi ya Milioni 15 kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Golf kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego . Kushoto ni Bwn. Edmund Mkwawa – Mwenyekiti wa Mkwawa University Golf Club

Benki ya Taifa ya Biashara NBC , Novemba 13, 2022 imeidhamini Club ya Golf ya Mkwawa University Golf Club Shilingi Milioni 15 , kwa ajili ya ujenzi wa Uwanja wa Golf ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono jitihada za Serikali na Mkoa wa Iringa kwa Ujumla katika kutangaza utalii wa Kusini maarufu kama ” UTALII KARIBU KUSINI ” ambao maadhimisho yake yamefungwa leo hii katika viwanja vya Kihesa Kilolo mkoani humo.

Akizungumza baada ya kupokea mfano wa Hundi ya Milioni 15 kutoka kwa Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na Wateja Wadogo Benki ya NBC Bwn. Elibariki Masuke , Mkuu wa Mkoa wa Iringa Mhe. Halima Dendego ameipongeza Benki ya NBC kwa jinsi inavyojitoa katika kuunga mkono masuala mbalimbali ya kijamii pamoja na michezo

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

” Hakika Benki ya NBC tunajivunia sana uwepo wenu , asante sana kwa jitihada zenu katika kukuza sekta ya michezo nchini lakini pia kwa umuhimu mkubwa niwashukuru sana kwa kuiunga mkono klabu yetu ya Golf ya ” Mkwawa University Golf Club ” asanteni sana kianzio icho kitasaidia sana katika kuendeleza mchezo wa Golf hapa Iringa na moja kwa moja kutengeneza fursa zaidi za utalii asanteni sana ”
Alimalizia.

 

ADVERTISEMENT

Naye kwa upande wake Mkurugenzi wa Wateja Binafsi na Wateja wadogo wa Benki ya NBC Bwn. Elibariki Masuke amesema kuwa

” Kama kawaida yetu Benki ya NBC tunapenda sana kuunga mkono sekta ya michezo hapa nchini , kama mnavyojua sisi ni wadhamini wakuu wa Ligi ya mpira wa miguu maarufu kama NBC PREMIER LEAGUE lakini tumekua tukiendesha mashindano ya Marathon Maarufu kama NBC DODOMA MARATHON ambapo fedha zinazopatikana katika mashindano hayo ya mbio huenda moja kwa moja kuwasaidia akina mama wenye matatizo ya kansa ya Kizazi , Kwahiyo tupo hapa kujumuika na wana Iringa hasa katika tamasha hili kubwa lililofungwa leo Tamasha la ” Karibu Utalii Kusini ” ambalo limehusisha watu mbalimbali kutoka ndani na nje ya nchi na sisi tumekuja kama wadhamini wa uwanja wa Golf ambapo tunaamini ukiwepo uwanja wa Golf hapa basi utavutia watalii zaidi na zaidi kwa maana Watalii watapata sehemu nzuri ya kujiburudisha baada ya kumaliza shughuli zao mbalimbali huko hifadhini ” Alimalizia .

Kwa upande Mwingine , akizungumza kwa Niaba ya Bwn. Edmund Mkwawa Mwenyekiti wa Mkwawa University Golf Club , Yohannes Chavala ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Klabu hiyo ameipongeza Benki ya NBC kwa mchango wao uliotukuka wa milioni 15 , na kuongezea kuwa ujenzi wa uwanja huo wa Golf utavutia watalii wengi na kukuza Utalii wa Kusini na Tanzania nzima kwa Ujumla.

Mwisho.

 

ADVERTISEMENT
Wateja wakiendelea kupata huduma mbalimbali kwenye banda la Nbc

Related

I am Krantz

I am Krantz

👉 FOUNDER & CEO of KONCEPT 👉Serial & Self-made Entrepreneur 👉Digital media consultant 👉Pr & media Guru/Awards winner Blogger 👉Startuper of the year 2016 by TOTAL 👉TOP 50 Most influential young Tanzania 2017 👉General Secretary at Tanzania Bloggers Network 👉 UPG Sustainability Leader in the Class of 2021 👉 ALUMNI The Tony Elumelu Foundation 👉Chairman YOUNG CEO CLUB Tanzania 🇹🇿 ‘ 😊 Marketer BY Education, Entrepreneur BY Profession & Blogger BY Passion ”😊

Related Posts

TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1
BIASHARA

TWITTER YATANGAZA KUONDOSHA BLUE TICK KUANZIA APRILI 1

by ALFRED MTEWELE
Mar 24, 2023
TCB YATOA MSAADA WA MABATI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI BUTIAMA
BIASHARA

TCB YATOA MSAADA WA MABATI KUKAMILISHA UJENZI WA ZAHANATI BUTIAMA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 22, 2023
MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)
BIASHARA

MPYA: TigoPesa yazindua Kadi Mtandao (Tigo Pesa Mastercard)

by ALFRED MTEWELE
Mar 22, 2023
BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO
BIASHARA

BRELA YAWATAKA VIJANA KUSAJILI BIASHARA ZAO

by ALFRED MTEWELE
Mar 14, 2023
USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI
BIASHARA

USINUNUE GESI KWA WASIO NA MIZANI

by ALFRED MTEWELE
Mar 9, 2023
BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI   KWA  WANAWAKE WAJASIRIAMALI
BIASHARA

BENKI YA AKIBA WAZINDUA WARIDI AKAUNTI KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI

by I am Krantz
Mar 9, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In