Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum mhe. Dkt. Dorothy Gwajima ameshiriki akiwa mgeni rasmi katika shughuli ya Kuzindua chama cha Wajane iliyofanyika tarehe 12/11/2022, viwanja vya Sabasaba mkoani Dar Es Salaam.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT