Wachezaji Clatous Chama wa Simba na Aziz Ki wa Yanga wamefungiwa mechi tatu kila mmoja na faini ya Sh 500,000 kwa kosa la kukwepa kusalimia wachezaji wa timu pinzani kabla ya kuanza mchezo wa Kariakoo Derby ( Yanga vs Simba) Oktoba 23 katika uwanja wa Mkapa na mechi hiyo ilimalizika kwa sare ya 1-1
ADVERTISEMENT