Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamemshukuru Rais Samia Hassan @SuluhuSamia kwa ujenzi wa daraja la Mbuchi lenye urefu wa mita 61 ambalo linalounganisha kata hizo huku ikielezwa kuwa ujenzi wake umegharimu Shilingi bilioni 7.2.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT