ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

DART YASHAURIWA KUTOA HUDUMA ZAKE MAJIJI MENGINE

Dar es Salaam, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Nov 17, 2022
in HABARI
0
DART YASHAURIWA KUTOA HUDUMA ZAKE MAJIJI MENGINE
0
SHARES
29
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

Feb 9, 2023

Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

Feb 3, 2023

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Feb 2, 2023
Load More
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mkoa na Serikali za Mitaa,(OR-Tamisemi), Mhe. Angellah Kairuki ameitaka Bodi ya Ushauri ya Wakala wa Mabasi yaendayo Haraka (DART) kubuni mikakati ya kuboresha huduma ya usafiri ndani ya Jiji la Dar es Salaam na kupanua wigo wa huduma hiyo katika majiji mengine yanayokidhi vigezo.
Wito huo ameutoa Novemba 15, 2022 jijini Dar es Salaam wakati akizindua Bodi ya Wakurugenzi wa DART na kuwataka kuweka mikakati ya utoaji wa huduma hiyo katika Majiji ambayo yanakidhi vigezo ili kutoa huduma hiyo nchi nzima
Amesema kuwa wakati wa uanzishwaji wa Wakala huo ulikuwa ni kwa Jiji la Dar-es-salaam lakini bado kuna majiji mengine ambayo yanatamani kupata huduma ya mabasi yaendayo kwa haraka, na kuwataka kuweka nguvu kulifanikisha hilo.
Akizungumzia hoja za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali(CAG), Waziri Kairuki ameitaka bodi hiyo kuhakikisha hoja zote za ukaguzi zinajibiwa kwa wakati na kuzifunga na kuhakikisha hakuzalishwi hoja nyingine.
“Sitegemei tunapoenda kwenye ukaguzi wa mwaka 2021/2022 na kaguzi nyingine mbeleni kupata hoja zinazojirudia wakati mlishajifunza hoja zipi ambazo huwa zinajitokeza wakati kuna wahasibu wabobezi, wakaguzi wa ndani wazoefu na wataalam wengine, hivyo wekeni mkazo kwenye eneo hilo” amesisitiza Waziri Kairuki
Kwa upande wa Matumizi ya TEHAMA, Waziri Kairuki ameitaka bodi ya Wakurugenzi kuhakikisha wanasimamia matumizi ya mifumo hasa katika suala zima la matumizi ya Kadi za kielektroniki ifikapo Februari, 2023 na pia kuangalia ubora wa kadi zenye viwango na ambazo hazitaweza kugushiwa.
Amewataka kuhakikisha mikataba inapitiwa ili kujua masharti ya mikataba iliyopo, ambayo imepitwa na wakati lengo ni kuhakikisha huduma bora inatolewa na upatikanaji wa faida inayopatikana
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In