ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

DC JOKATE AWATAKA WAJAWAZITO KUZINGATIA LISHE BORA NA KUFANYA MAZOEZI

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Nov 23, 2022
in HABARI
0
DC JOKATE AWATAKA WAJAWAZITO KUZINGATIA LISHE BORA NA KUFANYA MAZOEZI
0
SHARES
32
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

 

RelatedPosts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

Apr 1, 2023

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

Apr 1, 2023

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

Apr 1, 2023
Load More

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Jokate Mwegelo amewataka Wanawake wajawazito kuzingatia lishe bora inayoambatana na kufanya mazoezi wakati wote wa ujauzito ili kulinda afya ya Mama na Mtoto itakayosaidia kupunguza vifo vinavyotokana na uzazi.

 

 

 

 

–

 

 

DC Jokate ametoa wito huo kupitia hotuba yake iliyosomwa na Mwakilishi wake Theodora Malala ambaye ni Mtendaji wa Kata ya Charambe wakati wa uzinduzi wa mbio za Temeke Maternal Jogging zenye lengo la kuihamasisha jamii kuhusiana na uhusiano uliopo kati ya lishe bora wakati na baada ya ujauzito utakaosaidia kujenga kizazi bora, uliofanyika katika Hospitali ya Zakhem, Dar es salaam.

 

 

ADVERTISEMENT

 

 

–

 

 

DC Jokate kupitia kwa Mwakilishi wake Theodora ameishukuru pia Taasisi ya Hatua Group Afrika kwa kuwapatia vifaa vinavyotumika wakati wa kujifungua kwa kina Mama wapatao 200 na kutoa wito kwa kina Mama hao kuzingatia lishe bora pamoja na kufanya mazoezi hata baada ya kujifungua.

 

 

 

 

 

–

 

 

ADVERTISEMENT

“Tunawashukuru sana na zawadi hizi tutaenda kuzitoa kwenu, tukiamini itakuwa ni motisha ya kuendelea kukumbuka kwamba tulifanya jambo hili siku fulani katika Hospitali hii ambayo itaturahisishia sisi tuwe tunakula vizuri lakini vilevile tuzingatie mazoezi na tuhudhurie kliniki”

 

 

 

–

 

 

Sabrina Shabani ni miongoni mwa Wanawake waliopata msaada huo ameishukuru Taasisi hiyo kwa kutoa msaada kwa kina Mama wajawazito pamoja na elimu waliyopatiwa kuhusu umuhimu wa lishe bora, mbio hizo za Temeke Martenal Jogging zenye kauli mbiu isemayo ‘Ujauzito wenye Afya, Utoto wenye Afya’ zinatarajia kuanza February mwaka 2023.

 

Related

Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In