Kiungo wa klabu ya Barcelona Ligi ya La Liga na timu ya taifa ya Uholanzi, Frenkie de Jong amefunguka kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa kijamii wa Twitter kuwa amefurahishwa kwa kuanza na ushindi hiyo ni baada ya Timu yake ya Taifa Kuichapa Senegal kwa goli 2-0 zilizofungwa mnamo dakika 84′ na Cody Gakpo ambapo assist ilitoka kwa kiungo huyo halafu 90+9′ na Davy Klaassen.
ADVERTISEMENT
@DeJongFrenkie21 amefunguka kwamba………. “Happy to start with a win..”
ADVERTISEMENT