
Aliyekuwa Kocha wa Simba SC, Didier Gomez da Rosa ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Al Ain FC inayoshiriki Ligi kuu ndani ya Falme za Kiarabu (UAE)
Licha ya kuwa aliwahi tumikia Simba SC kutokea Tanzania, Kocha huyo amewahi kuhudumu pia katika vilabu vya Horoya AC FC kutokea nchini Guinea, Rayon Sports kutokea nchini Rwanda, Ethiopean Coffee, Ismaily SC na timu ya Taifa Mauritania.

Didier Gomez da Rosa akiwa Horoya AC

Didier Gomez da Rosa akiwa Rayon Sport
ADVERTISEMENT