ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Saturday, April 1, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result

Dk. Mwinyi Asisitiza Uelimishaji Kuhusu Uchumi wa Bluu

Zanzibar

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Nov 15, 2022
in HABARI
0
Dk. Mwinyi Asisitiza Uelimishaji Kuhusu Uchumi wa Bluu
0
SHARES
36
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter

RelatedPosts

Benki ya NMB Yasaini Makubaliano Kuiboresha Forodhani

Benki ya NMB Yasaini Makubaliano Kuiboresha Forodhani

Jan 20, 2023

Zanzibar Hutegemea Pato lake kwa Asilimia 29.2% Kutokea Sekta ya Utalii

Nov 29, 2022

Benki ya NMB Yaandaa Warsha ya Wakandarasi Zanzibar

Nov 16, 2022
Load More

May be an image of 5 people, people standing and text that says 'ESERVE La'

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameutaka Uongozi wa Chuo kikuu cha Dar es Salaam, Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS), Kushirikiana na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kufanya kazi ya kuielimisha jamii dhana na dhamira ya Uchumi wa Buluu kwa maendeleo ya nchi.
Dk. Mwinyi ametoa wito huko Buyu Mkoa Mjini Magharibi aliposhiriki katika Mahafali ya 52 Duru ya nne, ya Taasisi ya Sayansi za Bahari (IMS), Kampasi ya Buyu.
Akizungumza na Wahitimu, Viongozi wa Chuo pamoja na wananachi Mhe.Rais Dk. Mwinyi alisema kuna umuhimu wa Uongozi wa Chuo hicho kushirikiana na Serikali na kufanya kazi ya ziada ya kuelimisha jamii juu ya dhana ya Uchumi wa Buluu na dhamira ya Serikali ya kuweka kipaumbele katika matumizi ya rasilimali za Bahari katika kuimarisha uchumi.
Alisema serikali itaendelea kutoa ushirikiano na IMS katika kuimarisha sekta ya Uchumi wa Buluu unaozihusisha sekta za Uvuvi pamoja na Kilimo cha Mwani kwa kuamini kuwa hiyo ndio njia bora kuibua watalamu.
Aidha, Dk. Mwinyi alisema Serikali inatambua mchango mkubwa wa Taasisi za Elimu ya Juu nchini na kubainisha uwepo wa IMS kuwa ni fursa ,muhimu katika maendeleo sekta ya uchumi wa Buluu.
Alisema Serikali inatambua na kuthamini mchango mkubwa wa IMS katika uimarishani wa zao la Mwani, lenye kuzalisha ajira kwa kiwango kikubwa, hususani kwa akinamama.
Alitumia fursa hiyo kuahidi kwa Uongozi wa Chuo hicho kuwa serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar itaijumujuisha barabara iendayo Chuo Kikuu katika mradi wa ujenzi wa barabara za Ndani.
Katika hatua nyingine alitoa wito kwa wahitimu kutotosheka na Kiwango cha elimu walichofikia na badala yake kutumia taaluma na maarifa waliyonayo ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
📆 14 Novemba 2022
No photo description available.
May be an image of 3 people and people standing
May be an image of 8 people and people standing
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: ZANZIBAR
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI
HABARI

YANGA TUNAHITAJI KUIFUNGA MAZEMBE TUONGOZE KUNDI

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA
HABARI

GARI LA KIFAHARI ZAIDI NA LENYE THAMANI KUBWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA
HABARI

ONYANGO AOMBEWA MSAMAHA KWA ALICHOFANYA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA
HABARI

KOCHA NABI NA WACHEZAJI HAWA KUKOSA MCHEZO DHIDI YA MAZEMBE, SABABU YATAJWA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022
HABARI

TANI 20.6 ZA BANGI ZIMEKAMATWA 2022

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023
SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA
HABARI

SAFU YA ULINZI IMEWAANGUSHA SIMBA

by Shabani Rapwi
Apr 1, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In