Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Mpango azungumza na wawekezaji, viongozi wa Sekta Binafsi, Sekta ya Umma na viongozi mbalimbali wa nchi za Afrika pamoja na washiriki wa Jukwaa la Uwekezaji Barani Afrika (Africa Investment Forum) wakati wa Ufunguzi wa Jukwaa hilo Novemba 02,2022 jijini Abidjan nchini Ivory Coast.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT