Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa kijamii Rais wa Serikari ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi amedhihilisha kuguswa sana na Ajali ya Ndege inayomilikiwa na Shirika la Precision Air iliyotokea hapo jana katika Ziwa Victoria pale tu ndege ilipokuwa inatayarishwa kutua ardhini, hivyo ametoa salamu za rambirambi kwa wale wote wliopoteza ndugu zao kupitia ajali hio.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT