Kupitia kipindi cha #Empire ya EFM, Msanii wa Mziki wa Ku-rap hapa chini @dogojanjatz (Abdulaziz Abubakar Chande) amefunguka ukaribu alionao kati yake na Msanii mwenzake @aslayisihaka kwa Kusema Kuwa Kwasasa wawili hao ni ndugu na sio marafiki tena, #Msanii huyo ameongezea kwakusema kuwa huenda asingekua hai kama isingekua #ASLAY uusimama naye pamoja kwa muda mrefu.
–
–
“Kuna Kipindi Nilipata Matatizo Sana Hamna Mtu Yoyote Anajua Hiyo Shida Zaidi Ya #ASLAY Na Baadhi Ya Watu #ASLAY Alikuwa Mstari Wa Mbele Sana Kusimama Na Mimi Huenda Hata Sasa Hivi Nisingekuwa Hai So Hicho Ni Kipindi Nakaa Temeke Nakaa Kwake Nilikua Sina Hata Geto Na Nilikaa Kwake Kwa Muda Mrefu Sana Na Anajua Kabisa Sikua Na Kitu Yeye Mwenyewe Alikua Hana Kitu Lakini Tukiamka Asubuhi Nakuta Chakula Alikua Ananipa Nguo Nimevaa Nguo Zake” Amesema #JANJARO