ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Monday, March 20, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

DPP AWAFUTIA KESI WASHTAKIWA 24 WA MAUAJI YA ASKARI LOLIONDO

Shabani Rapwi by Shabani Rapwi
Nov 23, 2022
in HABARI
0
DPP AWAFUTIA KESI WASHTAKIWA 24 WA MAUAJI YA ASKARI LOLIONDO
0
SHARES
53
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

Mar 20, 2023

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

Mar 20, 2023

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

Mar 20, 2023
Load More
ADVERTISEMENT

Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha imewaachia huru washtakiwa wote 24 wa kesi ya mauaji ya Askari Koplo Ganus Mwita, yaliyotokea Juni 10 mwaka huu katika Kijiji cha Orlolosokwani Tarafa ya Loliondo Wilayani Ngorongoro – Arisha.
–
Washtakiwa hao wakiwemo wananchi na viongozi wa chama na serikali katika Tarafa ya Loliondo, wameachiwa huru baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kutokuwa na nia ya kuendelea na kesi hiyo.
Shauri hilo limeondolewa chini ya kifungu cha 91 (1) cha Sheria ya mwenendo wa makosa ya jinai.
–
Kesi hiyo ilianza kusikilizwa mahakamani hapo June 16 mwaka huu mbele ya Hakimu Herieth Mhenga wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, ambapo ilikuwa na jumla ya washtakiwa 27 na baadaye watatu kuachiwa na hivyo kufanya idadi ya washtakiwa kusalia 24.
Katika kesi hiyo, upande wa Jamhuri ulikuwa ukiwakilishwa na wakili Upendo Shemkole, huku upande wa utetezi ukiwakilishwa na mawakili Jebra Kambole, Yonas Masiay,Mhyela Ally na Denis Mosses.

ADVERTISEMENT

Related

ADVERTISEMENT
Shabani Rapwi

Shabani Rapwi

Related Posts

RJ THE DJ VIFO VINAONGEZA MSONGO WA MAWAZO
HABARI

ROMY JONS AOMBA MSAMAHA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”
HABARI

MCHUNGAJI AFUNGA KANISA KISA ASHINDA MIL 100 ZA “KUBETI”

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA
HABARI

WAZIRI BITEKO ATAKA BAJETI YA 2023/24 KUZINGATIA VIPAUMBELE VYA WIZARA

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO
HABARI

TMA YATOA TAHADHARI MVUA KUBWA MIKOA HII KUANZIA LEO NA KESHO

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023
WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR
HABARI

WATU 5 WASHIKILIWA NA POLISI KWA TUHUMA WIZI MAFUTA SGR

by ALFRED MTEWELE
Mar 20, 2023
MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI
HABARI

MARUFUKU KUTOA FEDHA UPATE DHAMANA POLISI

by Shabani Rapwi
Mar 20, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In