ADVERTISEMENT
Meneja wa Everton Frank Lampard ana nia ya kumleta beki wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw Goodison Park lakini mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 ana matumaini ya kuongezewa mkataba Old Trafford. (Football transfers)
Huku kwa upande wa Manchester United inamfuatilia mshambuliaji wa Blackburn na Chile Ben Brereton Diaz, 23 ingawa klabu nyingi za ligi kuu England zinataka kumnunua mchezaji huyo katika dirisha la januari. (90Min)
ADVERTISEMENT