Msanii wa Bongo Fleva H-Baba amefunguka kuwa ni katazo kubwa kushindana na msanii Diamond Platnumz bali wasanii wajifunze kutoka kwa msanii huy. Ameandika………….”Mwamba huyu hapa kiboko kabisa wa madoa sugu
Taarifa : (Tangazo)
Nimarufuku kushindana na @diamondplatnumz Sababu kuu ni nyingi, Diamond nimfano wakuigwa kupitia sisi vijana mbali naubillionaire alionao billionaire Mtoto @diamondplatnumz pia vitu anavyomiliki nindoto yake, namalengo yake aliojipangia.
tujifunze wasanii kuwekeza tumezidiwa kila kitu ubishi utatufanya kuwa maskini wa fikra na Sanaa, kujikuta mjuaji wakati unakitu Ujawekeza utashindana vp na Mwekezaji mkubwa Kama @diamondplatnumz TUMEZIDIWA TUJIFUNZE KUPITIA 🦁 @diamondplatnumz
kwanini ushindane na Mfano wetu wa Watanzania kupitia vijana, vijana wengi ujifunza vitu vingi kupitia Sanaa namaisha ya @diamondplatnumz ukitaka kushindananae nakupa Siri.
, labda Utamshinda Bangi na kupulizwa sio #Muziki uwekezaji n.k wallah… tumpe Eshima yake.
Wee Endelea (Kupulizwa) sio MUZIKI huyu mwamba nimkombozi wa Sanaa nishujaa wa Sanaa tumueshimu kumshindanisha na Vipulizo nikosa kisheria tunamkosea Adabu #Kinyago ulichokichonga akikutishi ata siku moja.
Wee Pulizwa wapulizaji wapo ”