Msanii #harmonize_tz (Rajab Kahali) amefanikiwa kufikisha jumla ya wafuasi (Followers) milioni 9 katika ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram, Hii inamfanya msanii huyo kushika nafasi ya pili kwa kulinganisha na Wasanii wenzake wa upande wa kiume Tanzania kambao wana wafuasi wengi katika mtandao huo.
ADVERTISEMENT
Nafasi ya namba 1 inashikiliwa na Msanii #Diamond Platnumz mwenye wafuasi takribani 15.4M, Kisha baada ya Harmonize anafuata namba tatu inayoshikiliwa na Msanii #Rayvanny akiwa na wafuasi 8.7M
ADVERTISEMENT