Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA kimesema kitaamua kama kiendelee mazungumzo na CCM au la ifikapo mwezi ujao kwa kuwa mambo mengi wanayolalamikia hayatekelezwi. Kauli ya CHADEMA imekuja wakati mazungumzo hayo yakiwa yametimiza miezi 6, huku kukiwa na usiri mkubwa wa kinachojadiliwa.
Credit; MwananchiNews.
ADVERTISEMENT