Kupitia Kurugenzi ya Mawasilano ya Rais Ikulu imedhidhirisha kuwa Haya ndiyo Mazungumzo yaliotokea baina ya Rais Samia Suluhu Hassan wa Jamuhuri ya Muunganao wa Tanzania pamoja na Rais wa Jamuhuri ya Misri Mh. Abdel Fattah El-sisi ndani ya mji mkuu wa Sahrm El Sheikh.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Rais El- Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Misri Mhe. Abdel Fattah El-Sisi mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi ya Rais El- Sisi katika Mji wa Sharm El Sheikh, nchini Misri tarehe 09 Novemba, 2022.