Kaimu Afisa Habari wa Klabu ya AZAM FC Hashim Ibwe amesema “Ukiwa na jezi yako ya Azam FC, iwe ya mechi au mazoezi ya msimu wowote, utaweza kuiona Azam FC bure bila kiingilio kwenye mechi zilizobakia za msimu huu ikicheza Azam Complex. Hio ni kutaka kuirejesha klabu na mashabiki wake kuwa katika hurka ya kushabikia timu yao kwa vibe kubwa kama ilivyokuwa hapo awali kwa upande wa timu hio.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT