Kwa mujibu wa ajali iliyoikumba Ndege ya Shirika la Precision Air nchini Tanzania ikitokea Dar ess Salaam kuelekea Bukoba, iliyothibitishwa kutokea karibu na pembezoni mwa Ziwa Victoria hapo Novemba 6,2022 mkoani Kagera, na kuripotiwa kuwa watu 19 wamefariki, leo Novemba 7,2022 ndio Zoezi zima la kuaga miili 19 kitaifa limefanyika Mkoani kagera likihudhuriwa na Waziri mkuu Kassim Majaliwa, Mkuu wa mkoa Chalamila, Viongozi wengine wa kiserikali pamoja na wadau wengine walioguswa na ajali hio kwa namna moja au nyingine.
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT