ADVERTISEMENT
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv
Tuesday, March 28, 2023
  • Login
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
  • Home
  • HABARI
  • BURUDANI
  • BIASHARA
  • MICHEZO
  • MAGAZETI
  • MAGAZETI TANZANIA
  • KIMATAIFA
  • KONCEPT TV
No Result
View All Result
Mwanaharakati Mzalendo
No Result
View All Result
ADVERTISEMENT

KAIRUKI AKERWA NA KASI NDOGO YA UJENZI WA MADARASA

Tabora, Tanzania

ALFRED MTEWELE by ALFRED MTEWELE
Nov 22, 2022
in HABARI
0
KAIRUKI AKERWA NA KASI NDOGO YA UJENZI WA MADARASA
0
SHARES
32
VIEWS
Share on FacebookShare on Twitter
ADVERTISEMENT

RelatedPosts

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

DKT. DUGANGE- BILIONI 69.95 ZIMETENGWA KUNUNUA VIFAA TIBA NCHINI

Feb 9, 2023

Dkt. Jafo: “Huenda zaidi ya Sh. Trilioni 1 Zikapatikana kwa Mwaka Kutokana na Biashara ya Kaboni”

Feb 3, 2023

Bilioni 213 za Miradi ya DMDP Zaistawisha Temeke

Feb 2, 2023
Load More

May be an image of 5 people, people sitting and indoorWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe.Angellah Kairuki ameonesha kukerwa na kasi ndogo ya ujenzi wa madarasa katika Mkoa wa Tabora.

Kairuki amekutana na kadhia hiyo leo wakati wa kuhitimisha ziara yake ya siku tatu ya kukagua ujenzi wa madarasa yanayojenga kwa ajili ya kupokea wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 na kubaini Mkoa wa Tabora kuwa nyuma.
Amesema katika ziara yake amebaini kuwa katika halmashauri ya Wilaya ya Uyui ilitakiwa kujenga madarasa 93 na mpaka sasa madarasa 82 yapo nyuma wakati Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ilitakiwa ujenga madarasa 87 yote yapo nyuma ya kiwango.
Kairuki amesema pia Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua ilipaswa kujenga madarasa 105 lakini madarasa 50 yapo nyuma huku Halmashauri ya Wilaya ya Sikonge ilipaswa kujenga madarasa 29 yote bado yapo nyuma.
Amesema kwa upande wa Halmashauri ya Nzega walitakiwa kukamilisha madarasa 65 huku madarasa 64 yapo nyuma, Halmashauri ya Mji Nzega 23 yapo mbele, Halmashauri ya Wilaya ya Igunga 64 yapo nyuma, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora madarasa 68 moja lipo nyuma.
Amesema kuwa Serikali ilitoa ukomo wa madarasa haya kukamilika ifikapo Disemba 15, 2022na Halmashauri nyingi zilianza ujenzi mwezi Oktoba,2022 hivyo kiwango cha ujenzi kilichotarajiwa kwa Mkoa wa Tabora kipo chini.
Kutokana na Hali hiyo, Kairuki ameziagiza Halmashauri za Mkoa wa Tabora kuhakikisha zinaongeza kasi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa kuzingatia ubora wa hali ya juu, dhamani halisi ya fedha izingatiwena taratibu nyingine za ujenzizizingatiwe
Amesema ubora wa kazi umezingatiwa ila zipo dosari ndogo kwa kuwa mafundi wanaotumika hawana ujuzi wa kiwango cha juu, hivyo ni wajibu wa wahandisi wa Halmashauri kuwafuatilia kwa karibu kwa kuwasimamia na kuwapa malezi na kutoa mafunzo zaidi na mbinu mbalimbali ili kuweza kuboresha kazi zao.
Kairuki pia mewaomba viongozi wa chama na Serikali kuendelea kufuatilia kwa karibu ujenzi wa vyumba vya madarasa 8000 vinavyoendelea kwa sasa ili watoto watakaochaguliwa kuweza kuingia wote kujiunga na kidato cha kwanza kwa wakati kwa kuwa ni matarajio ya Serikali shule zitaanza katika wiki ya kwanza ya mwezi Januari,2023.
Aidha amewaagiza viongozi wa kata hadi Mkoa kuhakikisha wanasimamia kwa karibu na kutatua changamoto zote zinazojitokeza katika utekelezaji wa ujenzi wa vyumba vya madarasa ili kuhakikisha tunafikia malengo ya Serikali.
May be an image of one or more people, people sitting, people standing and indoor
ADVERTISEMENT
ADVERTISEMENT

Related

Tags: OFISI YA RAIS TAMISEMI
ADVERTISEMENT
ALFRED MTEWELE

ALFRED MTEWELE

Related Posts

Yaliojili Kwenye Kurasa za Magazeti ya Leo Jumatatu Februari 6,2023
HABARI

Habari Kuu Kwenye Magazeti ya Leo Machi 28,2023

by ALFRED MTEWELE
Mar 28, 2023
TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION  KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA
HABARI

TAASISI YA GREEN KIDS AND YOUTH FOUNDATION KUENDELEZA MAHUSIANO BORA NA WADAU KATIKA KUTETEA UNYANYASAJI WA KIJINSIA

by Ally Hamis Zingizi
Mar 27, 2023
NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)
HABARI

NALA kuwekeza zaidi ya Sh. Bilioni 2 baada ya kupata leseni ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT)

by I am Krantz
Mar 27, 2023
Naibu Waziri   aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya  michezo
HABARI

Naibu Waziri aipongeza Benki ya NBC kwa kusaidia maendeleo ya michezo

by I am Krantz
Mar 27, 2023
MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA
HABARI

MZEE WA MIAKA 92 AFUNGA NDOA YA TANO MWAKA MMOJA BAADA YA NDOA NNE KUVUNJIKA

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023
BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14
HABARI

BAKWATA YASHIKILIA MSIMAMO NDOA MIAKA 14

by Shabani Rapwi
Mar 27, 2023

KRANTZ MWANTEPELE (FOUNDER & CEO)

KONCEPT TV

https://www.youtube.com/watch?v=0HP0mB_rtIU&t=7s
KONCEPT TV

KONCEPT TWEETS

ADVERTISEMENT
November 2022
M T W T F S S
 123456
78910111213
14151617181920
21222324252627
282930  
« Oct   Dec »
Currently Playing
  • About
  • Advertise
  • Privacy & Policy
  • Contact

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

No Result
View All Result
  • Home
  • Habari
  • Biashara
  • Afya
  • Kisamkasa
  • Magazeti
  • Makala
  • Michezo
  • Teknolojia
  • Koncept Tv

All rights reserved © 2020 Mwanaharakati Mzalendo - Powered by Koncept.

Welcome Back!

Login to your account below

Forgotten Password?

Retrieve your password

Please enter your username or email address to reset your password.

Log In