Kupitia ukurasa wa instagram wa Staa wa muziki, Shilole ameandika…
ADVERTISEMENT
–
ADVERTISEMENT
“Najua Siwezi kupendwa na Kila mtu.Na Kama hunipendi ni Sawa kabisaaa na ninaheshimu hilo lakini tafadhali naomba ukiniona usiniletee unafki wa kuniigizia kunipenda.Kuwa na msimamo na kaa mbali na Mimi Nitaheshimu msimamo wako. 🙏”