Msanii Phina Ametolea Ufafanuzi Zile Story Za Kuhusishwa Na Kusainiwa Katika Label Ya Konde Gang Ya Msanii Harmonize Ambapo Ameeleza Kuwa Hakuna Ukweli Wowote Kuhusiana Na Hilo Na Kuongeza Kuwa Yeye Yupo Sawa Bila Kuwa Chini Ya Label Yoyote
–
Kupitia Wasafi FM, Phina Amesema……….”Kuhusu Kusainiwa Konde Gang Sio Kweli Sijawahi Kusainiwa Wala Kutaka Kusainiwa Na Konde Gang Hajiwahi Kutokea Kabisa, Harmonize Tumewahi Kuwasiliana Yes Kwasababu Kipindi Imetoka Upo Nyonyo Yeye Na Kajala Walikuwa Wananisapoti Sana Muziki Wangu So Tukawa Na Project Tunafanyia Kazi”
–
“So Nafkiri Labda Uo Ukaribu Wakati Nina Project Na HarmonizeNafkiri Watu Wengi Wametafsiri Tofauti, Ujue Watu Wana Matamanio Yao Huku Nje Wanatamani Kwasababu Phina Ni Msanii Ambaye Hayupo Kwenye Label Yoyote Si Angeingia Na Yeye Kwenye Label Mambo Yabadilike Kidogo Lakini Mimi Niko Sawa”