Klabu ya Simba imewasili salama Mkoani Singida Kusubiri kuukabili Mchezo wao wa Ugenini utakaochezwa Novemba 9,2022 dhidi ya Singida Big Stars FC katika Dimba la Liti. Klabu hio iliianza Safari ya Kuelekea Mkoani huko hapo jana jioni kutokea Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere Airport jijini Dar es Salaaam na kutua Dodoma Airport ambapo ndipo wlipochukua Basi kwa Usafiri wa Ardhini kuelekea Singida.
Moja ya Picha ya matukio kwa kikosi cha Simba SC kikiwa kimewasili Mkoani Singida
Moja ya picha katika matukio ya jana Simba SC ikiondoka jijini Dar es Salaam kuelekea Mkoani Singida.